Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Timu nzima kuanzia kwa mashabiki, viongozi na mpaka Sasa wameanza kuambikiza kwa wachezaji namna wanavyo cheza wanacheza soka ambalo halina utulivu na kuanza kugomea mechi.
Ukiongea na mashabiki zao au viongozi wao hawawezi kuongea taratibu wao wanakuwa wakali muda wote mpaka unashaanga hapa tunagombana .wanataka kukumeza [emoji3].
hata kwenye mechi zao ukiwa wa timu nyingine umekaa nao uwanjani itabidi wakifungwa usishangilie goli maana watakuchania jezi uliovaa au kukutishia maisha kabisa maana walishawahi kwenda mahakamani kisa wametaniwa tu kwenye mpira.
Sasa kwenye mpira swala la utani ni kitu cha kawaida sana lakini wao ukiwatania tu wanakasilika wanataka kurusha ngumi.
Kuna muda mwingine wanazuia ata mchezaji asiojiwe Baada ya mechi ukilazimisha wanakutishia kurusha ngumi.
Hii tabia iko kwa wote,imebaki kuambukizwa kwa wachezaji tu kuwa kama timu yote ilivyo.
Na walichokifanya ni tabia yao ya ukorofi tu walikubari walivyoambiwa Baadae wanakataa.
Kama halikuwa hataki si angesema tu hatutaki sasa unakubali halafu Baadae unasema sheria imevunjwa.
Kwa mashabiki wa mpira hiyo haiwasaidii kitu hiyo.watu wameshapoteza gharama zao wanataka waone burudani uwanjani .
nikuwa nao makini tu kwenye kuishi nao maana muda wote wao wana hasira tu kidogo tu wanakasirika.
Vitu vingine wawe wanatumia busara sio kila kitu nyinyi ni visasi tu.
Kila mtu anaetokea timu ile ni mkorofi tu sijui ni kwanini?