Timu Oranje tukutane hapa

Timu Oranje tukutane hapa

Naona pichi za hizi uwanja ni ndogo, kidogo tu mpira umefika golini ladha ya kutandaza kabumbu inskosekana
 
Wameshinda kwa kuwa wamekutana na wasiofunga magoli japo wamekimbizwa kiaina,kombe la uji linawahusu.
 
Wameshinda kwa kuwa wamekutana na wasiofunga magoli japo wamekimbizwa kiaina,kombe la uji linawahusu.
Yaani mazuri yote hukuyaona Hadi utupe kikombe cha uji? Tupe heshima tunayostahili, tumecheza na timu nzuri tumeshinda Kwa ubora.
 
Leo tena Ile timu ambayo Wachezaji wote ni mabeki, wote ni viungo, wote ni mawinga na wote ni washambuliaji. Waanzilishi wa TOTAL FOOTBAL wako uwanjani na Dunia yote ina furaha.
Dakika 18 Oranje 1(Gakpo) - 0 Ecuador.
 
Back
Top Bottom