ORANJE ndio nini?Sisi ni finalist wa kombe la Dunia 2022 Qatar. Kuna watu wanatuchukulia poa, lakini tutawashangaza hawataamini.
Orange ,yeye kaandika inavyotamkwa.ORANJE ndio nini?
Allys Star bus?Wangekuwa wanakuhusu ungewajua, namaanisha Machungwa.
bahasha[emoji23][emoji28]Ndo yumeshatoboa hivyo tayari.
Yaani mazuri yote hukuyaona Hadi utupe kikombe cha uji? Tupe heshima tunayostahili, tumecheza na timu nzuri tumeshinda Kwa ubora.Wameshinda kwa kuwa wamekutana na wasiofunga magoli japo wamekimbizwa kiaina,kombe la uji linawahusu.