Timu soka lake linalovutia ni hii...

Timu soka lake linalovutia ni hii...

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Real Madrid wakiamua kucheza mpira wa uhakika hutapenda mechi iishe, hii timu mpira wake ni mtamu sana kuliko zote kwangu mimi...

Sijui wenzangu mnaonaje?
 
Kwangu mimi hakuna kama Simba S.C a.k.a Taifa Kubwa ... Lile soka lao la kitabuni hua linanimaliza kabisa.
 
Ni heri niangalie game ya simba kuliko hawa wapuuzi
 
Back
Top Bottom