Papa Mopao JF-Expert Member Joined Oct 7, 2009 Posts 4,153 Reaction score 2,647 Nov 21, 2015 #1 Real Madrid wakiamua kucheza mpira wa uhakika hutapenda mechi iishe, hii timu mpira wake ni mtamu sana kuliko zote kwangu mimi... Sijui wenzangu mnaonaje?
Real Madrid wakiamua kucheza mpira wa uhakika hutapenda mechi iishe, hii timu mpira wake ni mtamu sana kuliko zote kwangu mimi... Sijui wenzangu mnaonaje?
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Nov 21, 2015 #2 Kwangu mimi hakuna kama Simba S.C a.k.a Taifa Kubwa ... Lile soka lao la kitabuni hua linanimaliza kabisa.
Kwangu mimi hakuna kama Simba S.C a.k.a Taifa Kubwa ... Lile soka lao la kitabuni hua linanimaliza kabisa.
good96 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2015 Posts 519 Reaction score 539 Nov 22, 2015 #3 Ni heri niangalie game ya simba kuliko hawa wapuuzi