Timu tajiri top five Englan?

Aaron

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,019
Reaction score
4,693
Naomba mnisaidie ktk hili. Naomba top five ya timu tajiri England.
 
Naomba mnisaidie ktk hili. Naomba top five ya timu tajiri England.

hawa hapa kaka top 10

the top 10 richest clubs in england according to forbes are:
manchester united
arsenal
liverpool
chelsea
tottenham
manchester city
newcastle united
aston villa
everton
sunderland
 
the top 10 richest clubs in england according to forbes are:
manchester united
arsenal
liverpool
chelsea
tottenham
manchester city
newcastle united
aston villa
everton
sunderland
Taarifa hii ni kweli lakini haina mchanganuo wa kuondoa madeni................ukiondoa madeni na kubakisha net assets tu orodha hii itabadilika sana........................................na hili ni muhimu kujua net worthiness
 
Naona apo kwenye madeni Liverpool wanaweza shuka sana
 
Taarifa hii ni kweli lakini haina mchanganuo wa kuondoa madeni................ukiondoa madeni na kubakisha net assets tu orodha hii itabadilika sana........................................na hili ni muhimu kujua net worthiness

man u wana stand vipi baada ya kutoa kila kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…