Simba hiyo ......coz YANGA wanaweza hata kucheza bahariniNa mimi nasubiria kuona timu inayo ongoza kwa malalamiko! Malalamimo dhidi ya viwanja vya kuchezea, waamuzi, wakuu wa mikoa, Jii esi emu, wachezaji wao, kocha wao, nk.
Yaani ni malalamiko mwanzo mwisho.
Itaua Mikia FC.Hapana mkuu....YANGA ndio timu yenye watu wanna furaha