Timu ya Arsenal kuwa nje ya nne bora

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
1,455
Reaction score
1,621
Wadau wenzangu wa JF bila shaka hamjambo.
Ikiwa yamebaki masaa kwa mtanange wa ligi kuu ya mpira wa miguu uingereza yaani EPL kuanza naomba tulijadidili hili. hivi ni kxa nini wachambuzi wengi wa soka hapa nchini Tanzania na nchi nyingine za nje wanaitabiria timu ya soka ya Arsenal kumaliza msimu wa ligi ikiwa nje ya nne bora yaani "top 4" ?
 
Mm ni mtabiri wa soka na kutabiria arsenal wanachukua ubingwa msimu huu
 
Mkuu utabiri kazi sana, msimu uliopita Sir Alex Ferguson alichemka hakuwafikiria Chelsea kabisa. Lakini kilichotokea...
Wachambuzi ni watu kama wewe, kila mtu ana mawazo yake mkuu.
 



!
!
Hiyo ni kama Paid mpaka wamtimue bwana yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…