Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Humeamini niripokuwambiya mujomba wagu yupo itaria, hunahona kahajiriwa.?
Hahaa kwani huyu mlet mada ndo dulla
Hahah hii kauli huwa inanikumbusha bi faiza foxy[emoji23][emoji23]Itaria ndo nini
Shuleni mlienda kujifunza ujinga sio?
Unamfahamu mtu aliye comment kuwashawishi wafungue ukurasa wa twitter wa lugha ya kiswahili au umepayuka payupa hapa?Kazi nzuri wakenya,tunaona matunda ya jitihada zenu aisee
Unamfahamu mtu aliye comment kuwashawishi wafungue ukurasa wa twitter wa lugha ya kiswahili au umepayuka payupa hapa?
Ebu tufahamishe mkuuUnamfahamu mtu aliye comment kuwashawishi wafungue ukurasa wa twitter wa lugha ya kiswahili au umepayuka payupa hapa?