Timu ya ASAS toka Djibouti mchana huu

Bakari Nondo Mwamnyeto anakosakosa

Goal kick
 
Hoja yako ni kwamba Yanga wadharau mechi au ni nini?
 
View attachment 2729473

wakijikusanya kutoka Hotelini Kariakoo kwenda kucheza na Yanga Chamazi kwenye CAF sasa Angalia Mbwembwe za Upande wa Pili utadhani wanaenda kucheza na Mamelod hivi Zingatia Room hapa Bed & Breakfast ni 50,000 tu
Kwa hiyo ili kuendana na mechi hii, ulitaka Yanga wakalale Manzese, wakale mihogo na dagaa pale feli halafu wakodi daladala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…