Timu ya Copa Coca-Cola ya Tanzania imeondolewa na Zambia kwa kufungwa goli 1 kwa 0 hatua ya robo fainali huko Nakuru Kenya

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491

Timu ya Copa Coca-Cola ya Tanzania imeondolewa na timu ya Copa coca ya Zambia muda mfupi uliopita kwa kufungwa goli 1 kwa 0 huko mjini Nakuru nchini ambako mashindano ya Copa coca Africa yanaendele na huku wenyeji Kenya wakimuondosha mashindanoni timu ya Copa coca Ugonda kwa goli 1 kwa 0 pia.

Timu ya Tanzania iliingia hatua ya robo fainali baada ya kuibuka na ushindi wa goli 3 bila majibu na timu ya Afika Kusini katika hatua ya makundi.

Hongereni vijana wa Copa coca Tanzania kwa kufikia hatua hiyo...
 

hapo Tanzania ilikuwa half time walipokuwa nyuma kwa goli moja kwa sifuri wakiwa wanapewa mawaidha na walimu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…