Nauliza ndio yule wa Nyoso? Walikuwa wanamuita Mama Wanjera...anaenda wapi mkuu
akijifunza ya Hamis Tambwe atafanya vizuri Yanga pia
namshauri Maguri aende kati ya Mbeya City au Yanga sababu uwezo wake unaendana na mfumo wa timu hizo
Simba huwa inaongoza kuua vipaji...