S samakinchanga JF-Expert Member Joined Aug 24, 2014 Posts 2,024 Reaction score 1,233 Jan 5, 2018 #1 si nyie mmeona wenyeweeee bingwa wa sasa katolewa mapemaaa na timu ya daraja la pili sijui gani ile.na pia muziki wanaoupata timu za simba na yanga zikikanyaga Mazoo mwanza. heri ya mwaka mpya
si nyie mmeona wenyeweeee bingwa wa sasa katolewa mapemaaa na timu ya daraja la pili sijui gani ile.na pia muziki wanaoupata timu za simba na yanga zikikanyaga Mazoo mwanza. heri ya mwaka mpya
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 7,922 Reaction score 3,618 Jan 5, 2018 #2 sawa mzee wa mninga, mkongo, mkarambati na mtondoo
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Jan 5, 2018 #3 Aisee