Timu ya Mpira wa miguu ya Mkoa wa Kilimanjaro chini ya miaka 15 imepigwa goli 13 na vijana wa Zanzibar

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Leo timu ya mpira wa miguu ya Mkoa wa Kilimanjaro chini ya miaka 15 imepigwa goli za kutosha na Wapemba. Picha inajieleza zaidi.

=====

Katika mashindano ya TFF U15
vijana wa Zanzibar (Mjini Magharibi) wamewafunga vijana wenzao kutoka Kilimanjaro mabao 13-0

FT: Kilimanjaro 0-13 Mjini Magharibi.

Mchezo umechezwa asubuhi ya leo kwenye uwanja wa Karume, Ilala.
 
acha zako wewe.... hao wapemba wamejaza vijeba kibao halafu uchawi mwingi.... kilimanjaro waadilifu na waaminifu tumechezesha watoto wa miaka 13 kushuka chini sasa hao vijeba unadhani wangefanya nini?
 
Ndiyo mfungwe goli 13-0! Mkubali tu michezo kwa upande wenu siyo kipaumbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…