Timu ya Okwi yazidi kutakata, Yatandika mwingine 4-0

Timu ya Okwi yazidi kutakata, Yatandika mwingine 4-0

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
SonderjyskE ndio timu anayochezea, mchezaji bora kabisa kuwahi kushuhudiwa katika ukanda wa CECAFA, Emanuel Anord Okwi. Timu hii inazidi kuchanja mbuga katika mbio za kuchukua ubingwa wa Superliga nchini Denmark baada ya jana kutandika mtu goli 4-0.

Hebu cheki hapa chini, mshindi wa Superliga 1 hadi 4 hua anashiriki mashindano gani ya kimataifa;

1. Hufuzu moja kwa moja-UEFA Champions League-in the third qualifying round for champions.
2. Hufuzu moja kwa moja UEFA Champions League third qualifying round for non-champions.
3. Hufuzu moja kwa-UEFA Europa League-in the third qualifying rounds.
4.-Hufuzu moja kwa moja UEFA Europa League-in the second qualifying rounds.

Pia SonderjyskE inashiriki Danish Cup -ambapo bingwa wake hufuzu moja kwa moja UEFA Europa League-in the 4th qualifying round.

Msimamo wa Superliga hadi jana ni kama ifuatavyo;
1439181326326.jpg

Ikumbukwe Simba SC ndio iliyomlea Okwi, ikampiga msasa wa kutosha, mpaka akafika hapo alipo.. Hivyo mafanikio ya Okwi ni mafanikio ya Simba SC.
Sasa Okwi, amekua wakimataifa kweli kweli maana mda si mrefu tutaanza kumshuhudia katika ligi kubwa duniani.
Mwisho, Danish Superliga ndio njia panda ya kwenda EPL, La Liga, League One n.k

1439181454178.jpg

".. thanks Okwi kwa memory mujarabu ulizotuachia mitaa ya msimbazi. Sana sana siku ile tuliyomtandika mtani mkono" - Sembo!
 
sembo tuoneshe pia participation ya Okwi katika timu hiyo, kwa mfano alicheza namba ngapi, ali-assist magoli mangapi, alifunga magoli mangapi n.k. Aidha tuambie pia matokeo mengine ya hivi karibuni ya hiyo timu hata kama ilifungwa.

Latest results

all home away 6 9 12
show all
[TABLE="class: stat tblhover"]
[TR="class: status5"]
[TD="class: data timezone"]09.08.2015
[/TD]
[TD="class: comp"]DEN D1
[/TD]
[TD="class: team4"]Esbjerg fB
[/TD]
[TD="class: dash"]0-4
[/TD]
[TD="class: team5"]SønderjyskE
[/TD]
[TD]
w.gif

[/TD]
[/TR]
[TR="class: status5 col"]
[TD="class: data timezone"]02.08.2015

[/TD]
[TD="class: comp"]DEN D1
[/TD]
[TD="class: team4"]SønderjyskE

[/TD]
[TD="class: dash"]1-3
[/TD]
[TD="class: team5"]FC København
[/TD]
[TD]
l.gif

[/TD]
[/TR]
[TR="class: status5"]
[TD="class: data timezone"]24.07.2015

[/TD]
[TD="class: comp"]DEN D1
[/TD]
[TD="class: team4"]SønderjyskE
[/TD]
[TD="class: dash"]1-2
[/TD]
[TD="class: team5"]FC Midtjylland
[/TD]
[TD]
l.gif

[/TD]
[/TR]
[TR="class: status5 col"]
[TD="class: data timezone"]17.07.2015

[/TD]
[TD="class: comp"]DEN D1
[/TD]
[TD="class: team4"]FC Nordsjælland
[/TD]
[TD="class: dash"]0-2
[/TD]
[TD="class: team5"]SønderjyskE
[/TD]
[TD]
w.gif

[/TD]
[/TR]
[TR="class: status5"]
[TD="class: data timezone"]11.07.2015

[/TD]
[TD="class: comp"]INT CF
[/TD]
[TD="class: team4"]Holstein Kiel
[/TD]
[TD="class: dash"]1-1
[/TD]
[TD="class: team5"]SønderjyskE
[/TD]
[TD]
d.gif

[/TD]
[/TR]
[TR="class: status5 col"]
[TD="class: data timezone"]07.07.2015
[/TD]
[TD="class: comp"]INT CF
[/TD]
[TD="class: team4"]Silkeborg IF
[/TD]
[TD="class: dash"]2-4
[/TD]
[TD="class: team5"]SønderjyskE
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mkuu Makoye Matale tangu msimu huu uanze, mabingwa watarajiwa wa Superliga, Danish Cup.. na washiriki wa UEFA Champions League msimu ujao, SonderjyskE tumecheza mechi kadhaa.. Kama ulivyoainisha hapo juu.

Tumecheza mechi 4 za kirafiki.. Tumeshinda 2 Tumedroo 2.

Tumecheza mechi 4 za Superliga.. Tumeshinda 2 Tumefungwa 2 (kwa taabu sana).

Kuhusu mchango wa Okwi katika timu, sijapata taarifa.. Nikizipata nitazimwaga hapa jukwaani.

Ni mimi mshabiki mpya wa SonderjyskE, kukuletea habari.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Makoye Matale tangu msimu huu uanze, mabingwa watarajiwa wa Superliga, ....

Tumecheza mechi 4 za Superliga.. Tumeshinda 2 Tumefungwa 2 (kwa taabu sana).

Kuhusu mchango wa Okwi katika timu, sijapata taarifa.. Nikizipata nitazimwaga hapa jukwaani.
...

Huyo Okwi hata kwenye wachezaji wa akiba hakuwepo
 
Attachments

  • 1439242017632.jpg
    1439242017632.jpg
    45.5 KB · Views: 457
  • 1439242042640.jpg
    1439242042640.jpg
    41.5 KB · Views: 370
  • 1439242065680.jpg
    1439242065680.jpg
    21.3 KB · Views: 388
Last edited by a moderator:
Huyo Okwi hata kwenye wachezaji wa akiba hakuwepo

JF hunipa raha sana maana maswali yote hujibiwa hapa hapa. Asante sana Mkuu Mtumpole.
Mkuu sembo nadhni umepata taarifa uliyokuwa ukiitafuta, kwa vile Okwi hakuwemo uwanjani wala kwenye benchi ni wazi kuwa hakucheza! Ushindi wa 4-0 hautokani na mchango wa Okwi hivyo mafanikio hayo siyo ya Okwi wala Simba.
 
Haha.. Sawa Mkuu. Tarehe 17/08 tutakua uwanjani tena kupambana na Hebro.. Hope yule mchezaji bora kabisa atakua uwanjani kuhakikisha tunapata ushindi.
 
Last edited by a moderator:
JF hunipa raha sana maana maswali yote hujibiwa hapa hapa. Asante sana Mkuu Mtumpole.
Mkuu sembo nadhni umepata taarifa uliyokuwa ukiitafuta, kwa vile Okwi hakuwemo uwanjani wala kwenye benchi ni wazi kuwa hakucheza! Ushindi wa 4-0 hautokani na mchango wa Okwi hivyo mafanikio hayo siyo ya Okwi wala Simba.

Sawa Mkuu sembo, tuendelee kujuzana.
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1439834860997.jpg
    1439834860997.jpg
    40.4 KB · Views: 231
  • 1439834945016.jpg
    1439834945016.jpg
    25.4 KB · Views: 228
  • 1439834988500.jpg
    1439834988500.jpg
    14.1 KB · Views: 206
SonderjyskE ndio timu anayochezea, mchezaji bora kabisa kuwahi kushuhudiwa katika ukanda wa CECAFA, Emanuel Anord Okwi. Timu hii inazidi kuchanja mbuga katika mbio za kuchukua ubingwa wa Superliga nchini Denmark baada ya jana kutandika mtu goli 4-0.

Hebu cheki hapa chini, mshindi wa
Timu ya Okwi leo yapokea kipigo
 
Attachments

  • 1440345720158.jpg
    1440345720158.jpg
    40.7 KB · Views: 213
  • 1440345765405.jpg
    1440345765405.jpg
    32.5 KB · Views: 198
Okwi mwenyewe bench kila mechi,team yake ni hyo ya kulia.
 
Attachments

  • 1440346918218.jpg
    1440346918218.jpg
    44.8 KB · Views: 161
  • 1440346939672.jpg
    1440346939672.jpg
    39.6 KB · Views: 165
Mkuu Makoye Matale tangu msimu huu uanze, mabingwa watarajiwa wa Superliga, Danish Cup.. na washiriki wa UEFA Champions League msimu ujao, SonderjyskE tumecheza mechi kadhaa.. Kama ulivyoainisha hapo juu.

Tumecheza mechi 4 za kirafiki.. Tumeshinda 2 Tumedroo 2.

Tumecheza mechi 4 za Superliga.. Tumeshinda 2 Tumefungwa 2 (kwa taabu sana).

Kuhusu mchango wa Okwi katika timu, sijapata taarifa.. Nikizipata nitazimwaga hapa jukwaani.

Ni mimi mshabiki mpya wa SonderjyskE, kukuletea habari.

Kama Nonda Shaban Papii..alivyopikwa na Yanga..btw ukitaka nani alimuona okwi a.k.a Emma sting....kule Uganda mpk akaja bongo niPM....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom