Timu ya Singida Black Stars imegoma kuingia vyumbani kwenye mchezo wao dhidi ya JKT Tan

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
1,353
Reaction score
3,060
Timu ya Singida Black Stars imegoma kuingia vyumbani kwenye mchezo wao dhidi ya JKT Tanzania unaochezwa Meja Jenerali Isamuyo, Mbweni.

Singida BS wamegoma kutumia vyumba vya kubadilishia nguo tangu walipowasili uwanjani Meja Jenerali Isamuyo, maelekezo ya ufundi yanafanyika nje.

NB: hawa itakua ni utopolo ndo iliwadanganya tu baada kucheza soka bovu na kuambulia droo

Poor utopoloView attachment 3235507
20250213_170315.jpg
 
Timu ya Singida Black Stars imegoma kuingia vyumbani kwenye mchezo wao dhidi ya JKT Tanzania unaochezwa Meja Jenerali Isamuyo, Mbweni.

Singida BS wamegoma kutumia vyumba vya kubadilishia nguo tangu walipowasili uwanjani Meja Jenerali Isamuyo, maelekezo ya ufundi yanafanyika nje.

NB: hawa itakua ni utopolo ndo iliwadanganya tu baada kucheza soka bovu na kuambulia droo

Poor utopoloView attachment 3235507View attachment 3235508
Walijua walichafanyiwa yanga ndio maana wakagoma kuingia vyumbani na wanaongoza goli Moja bila mpaka sasa
 
Singida wamestukia chezo na wamepata matokeo ngoja sasa kesho c.e.o wao kesho atakavyo mwaga povu redioni na kutamka neno ni ushamba tu mara 70
 
Back
Top Bottom