Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
3 sifuriUpdate ngapi ngapi!?
Singida moja jkt hawajapata kitu..Update ngapi ngapi!?
Leo Wilson Nangu hataki kuwa man of the match!?Wazee wa kufukia leo naona wamekaliwa kooni..
Walijua walichafanyiwa yanga ndio maana wakagoma kuingia vyumbani na wanaongoza goli Moja bila mpaka sasaTimu ya Singida Black Stars imegoma kuingia vyumbani kwenye mchezo wao dhidi ya JKT Tanzania unaochezwa Meja Jenerali Isamuyo, Mbweni.
Singida BS wamegoma kutumia vyumba vya kubadilishia nguo tangu walipowasili uwanjani Meja Jenerali Isamuyo, maelekezo ya ufundi yanafanyika nje.
NB: hawa itakua ni utopolo ndo iliwadanganya tu baada kucheza soka bovu na kuambulia droo
Poor utopoloView attachment 3235507View attachment 3235508
Utopolo hawakufanywa kitu zaidi ya kucheza soka bovuWalijua walichafanyiwa yanga ndio maana wakagoma kuingia vyumbani na wanaongoza goli Moja bila mpaka sasa