Nlichogundua kuwa Tz kuna mbumbumbu wengi mno wakuu yaani mtu anahusisha hiyo migogoro na sasa huu si umbumbumbu uliotukuka yaani sijui watu wanadhani FIFA ni ya ulaya tu wanasahau FIFA kuwa ni world wide operating kwenye football so ndani ya bodi yao kuna watu wa mataifa mbalimbali wakiwemo warusi wenyewe pia sasa,ifikie muda hizi za siasa zenu uchwara za huku Afrika za kila jambo mnalihusisha na siasa tuziache huku huku kwa ma mbumbumbu wenzenu maana mtaifanya ile watz 3 kati ya 4 ni wajinga iboreshwe na kuwa 4/4 ni wajinga hatutaki tufike huko bhandugu tujipe muda kutafakari kabla ya kutoa hukumu,urusi kufungiwa haihusiani na siasa za duniani au ulaya maana wakianza hivyo na Urusi akijibu basi Ulaya ndo watapata tabu sana so ulaya kufanya hivyo ni ngumu ukizingatia urusi hata kufuzu tu world cup 2022 ni tabu na hii ya 2018 ni kwa kuwa alikuwa host ndio maana akashiriki so kumfungia ni kama wamempa tiketi ya kutojisumbua kwenye qualification
Sent using
Jamii Forums mobile app