Huyo kocha dini gani kwani?Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale.
Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa? Kuwaacha wachezaji kama Kibwana, Farid, Kibu ni kujipoga risasi mguuni
Wajomba hapa mwisho walijimaliza wenyewe zilipoanza tu tia maji tia maji za kupeana magari mara hela.Kwa Sasa Tff iachane kabisa na swala la kutafuta kocha kutoka Nje Wala msaidizi kutoka Nje.
Makocha waliopo wanatosha na Wana faa, Tff imetumia mda mrefu kuandaa makocha waliopo Sasa, imewaamini na wao wametuonyesha Wana weza.
Tatizo tulilo Baki nalo ni wachezaji, Nashauri mashindano ya vijana yawe mengi ili kupata wachezaji vijana wengi waliocheza mechi nyingi.
KobazHuyo kocha dini gani kwani?
Mgalatia.Huyo kocha dini gani kwani?
Vetting ilifanyikia pale KinondoniKobaz
Mimi huwa najua siku zote kocha wa Taifa Stars ni Adel Amrouch, akimaliza adhabu ya CAF ya mechi nane anarudi kwenye kazi yake au Amrouch alishafukuzwa mimi ndiyo sikufuatilia?Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale.
Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa?
Kuwaacha wachezaji kama Kibwana, Farid, Kibu ni kujipiga risasi mguuni
Fanya hivi futa simba na yanga ndio utapata wachezaji ukinijibu ili utasema kwa nini hakuna timu ya taifaUwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale.
Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa?
Kuwaacha wachezaji kama Kibwana, Farid, Kibu ni kujipiga risasi mguuni
Timu ya taifa izingatie ubora tu basi, hata kama wachezaji 8 wote wanatoka Simba, Azam, JKT au Yanga. Kuchagua wachezaji kwa kubalance timu au eneo la muungano hatutafika mbali. Kocha wa aina hiyo atatuchelewesha sana.Fanya hivi futa simba na yanga ndio utapata wachezaji ukinijibu ili utasema kwa nini hakuna timu ya taifa
Kocha anatakiwa aje na benchi lake la ufundi, kama wanampenda Morocco wampe cheo kingine na siyo ukochaUwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale.
Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa?
Kuwaacha wachezaji kama Kibwana, Farid, Kibu ni kujipiga risasi mguuni
Hebu ona, Morocco alikuwa akisema uongo kuhusu sababu za kuacha kumuita Dickson Job kikosi cha Taifa. Sasa hivi amemg'ang'ania kama mkombozi kwenye safi ya ulinzi mpaka unajiuliza job ameboreka lini hadi Sasa anafaa timu ya Taifa?Kocha anatakiwa aje na benchi lake la ufundi, kama wanampenda Morocco wampe cheo kingine na siyo ukocha
Tuache masiala! hao makocha CV zao zinatosha kupewa timu inayowakilisha watu Million 60!Kwa Sasa Tff iachane kabisa na swala la kutafuta kocha kutoka Nje Wala msaidizi kutoka Nje.
Makocha waliopo wanatosha na Wana faa, Tff imetumia mda mrefu kuandaa makocha waliopo Sasa, imewaamini na wao wametuonyesha Wana weza.
Tatizo tulilo Baki nalo ni wachezaji, Nashauri mashindano ya vijana yawe mengi ili kupata wachezaji vijana wengi waliocheza mechi nyingi.
Kwani Morocco aliwahi kuifundisha timu ipi kwa mafanikio hadi ahamishie mafanikio hayo kwenye timu ya Taifa? Hawa akina ibenge walipewa timu yao ya taifa lakini walionyesha umahiri kwenye club yake kwanza.Tuache masiala! hao makocha CV zao zinatosha kupewa timu inayowakilisha watu Million 60!
Mzize, Samata, Job, Kapombe wanafundishwa na world class coaches alafu wanaenda timu ya taifa wanapewa kocha analogy aliyefeli namungo hata technology imemtupa!
Hakuna Kocha anafukuzwa kisa uteuzi wa wachezaji,Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale.
Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa?
Kuwaacha wachezaji kama Kibwana, Farid, Kibu ni kujipiga risasi mguuni
Kocha ni taaluma na uzoefu katika tasnia.Tuache masiala! hao makocha CV zao zinatosha kupewa timu inayowakilisha watu Million 60!
Mzize, Samata, Job, Kapombe wanafundishwa na world class coaches alafu wanaenda timu ya taifa wanapewa kocha analogy aliyefeli namungo hata technology imemtupa!