Timu ya Taifa Kenya imepata sare ugenini dhidi ya Misri

Timu ya Taifa Kenya imepata sare ugenini dhidi ya Misri

Hizi ni juhudi za serikali ya Uhuru Kenyata. Jubilei oyeeeeeee!
 
Congrats to the stars! Soccer might not be our thing but it is fast becoming our thing.
 
Tanzania mumesahau ile kichapo cha mbwa tuliyowapa Afcon?
 
Tuache unafiki wachezaji wa Kenya wanajua sn kupambana. Hii hali ya njaa kali mpaka kufungiwa hotelini ingewapata wachezaji wetu sjui km tungeweza kuyahesabu hasa mbele ya Mafarao
 
Back
Top Bottom