Timu ya Taifa Kenya imepata sare ugenini dhidi ya Misri

Hizi ni juhudi za serikali ya Uhuru Kenyata. Jubilei oyeeeeeee!
 
Congrats to the stars! Soccer might not be our thing but it is fast becoming our thing.
 
Tanzania mumesahau ile kichapo cha mbwa tuliyowapa Afcon?
 
Tanzania mumesahau ile kichapo cha mbwa tuliyowapa Afcon?
Wakenya mumesahau kile kichapo tuliwapa tukawatoa kwenye kinyanganyiro cha kufuzu CHAN πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Au Umesahau kile kichapo tuliwapa majuzi hapo tukabeba na kombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ona hii tena.

 
Tuache unafiki wachezaji wa Kenya wanajua sn kupambana. Hii hali ya njaa kali mpaka kufungiwa hotelini ingewapata wachezaji wetu sjui km tungeweza kuyahesabu hasa mbele ya Mafarao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…