Timu ya taifa kutofanya vizuri sababu ni hizi hapa

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
wote tuna haki ya kueleza na kutoa wazo na michango kwa ajili ya taifa letu kufikia malengo.sio mawazo ya mtu mmoja ambaye mwenye nafasi bila kushirikisha wananchi ndio usababisha matatizo.mfano tozo na mengine.

Tuje kwenye burudani sasa!
swali umeshajiuliza timu ya taifa ya wingereza ikifanya vizuri ingali inawachezaji wazuri ambao wanachezea club kubwa zenye ushandani na mkwanjwa mrefu.

Tukilinganisha na wingereza na nchini kwetu. kwenye vilabu basi kwa hapa vilabu ambavyo vitapewa kipaumbele ni simba,yanga,azam na labda mwengine hatoke nje kabahatika huko mfano samata.

sababu kutofanya vizuri ni hizi hapa:
*Utayari wa kujitolea na kutafuta kujulikana
Timu za taifa zinapocheza mfano kombe la dunia wachezi chipukizi ujulikana na wasio na majina utokea.

Sasa wachezaji wengi walio tayari kwenye club na wanalipwa vizuri wanaona sio sehemu yao kuonesha uwezo kimataifa kumbe ndio inaweza kumpeleka kimataifa kuingia kwenye club kubwa.

Mfano kama tungefuzu kombe la dunia alafu tunapambana na brazil na tukawapiga 3. tumeshaongeza kujulikana wachezaji.

*Upendeleo na siasa za mipira
Timu ya taifa inashindwa kufikia malengo sababu ya upendeleo ule ule uliojaa makosa na kukurupuka na kufanya wenye kujua kucheza kutotambulika. Haya mambo yametengenezwa na timu mbili ambazo bila kupita hapo timu ya taifa uchezi.

*Timu ya taifa kukosa ujasiri na heshima

wachezaji wengi wanaondaliwa hawa heshimu timu ya taifa kama club zao za ugali wa kila siku,ujasiri wa kucheza ni mdogo kuliko club zao.

*Hakuna mchezaji aliyetokea kujulikana timu ya taifa
ili jambo ufanya wachezaji wengi kuzarau sababu wanaona timu ya taifa uwezi kutokea ila utatokea simba na yanga na vilabu vingine.

*Timu ya taifa kuwa motisha ya kujali na lisiwe jambo mpaka serikali na wadau kwa mda mchache.

Timu ya taifa si endelevu ukilinganisha na nchi mfano brazili yani wenzetu ikifika kombe la dunia ilishaandaa vijana mda mrefu na tena chipukizi sababu wanajua wanaenda kucheza na watu ambao hawapo tayari kujitolea kwenye timu yao taifa kama wasije kuhumia,pesa za kulipwa.

Ni hayo
 
Kuna mwaka Nigeria walicheza kinyonge kwenye World Cup kwa kuwa pesa yao ya posho hawakulipwa, ililiwa na viongozi wao. Vilevile Cameroon waliwahi kufanya hivyo.

Unapochezea timu ya taifa, haitakiwi kuwa kucheza kwa bidii ili uonekane, inatakiwa kucheza kwa bidii kutetea bendera ya taifa lako. Ukifanya hivyo utaonekana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…