Timu ya Taifa (taifa *s)

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Ninapenda kuzungumzia jambo moja ambalo huenda ni dogo na linapuuziwa ndio maana siku zote timu yetu ya Taifa(si Kilimanjaro stars) imekuwa ikifanya vibaya kila kukicha.
Pamoja na jitihada zote nadhani jambo la msingi ni namna ya kuwapata wachezaji. Kocha hulazimika kuchagua wachezaji toka timu za Tanganyika na pia Zanzibar.
Ni kwanini kusiwe na ligi moja itakayozikutanisha timu toka Zanzibar na za Bara. Huenda tukapata wachezaji wazuri kutokana na ushindani utakaokuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…