NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kocha wa Taifa stars tayali yupo kambini na kikosi chake Ina maana kikosi kimeitwa kimya kimya.
Source: EFM radio
Kwa Nini wameita kimya kimya wanaficha Nini haswa au Kuna mchezaji Kama FEISAL SALUMU wamemuita wanaogopa kelele za mashabiki??
Ngoja tusubiri mje kujitokeza kutuhamasisha kuwa tukaishangilie timu ya Taifa wakati mnafanya Mambo yenu kimyakimya na mechi mcheze kimya kimya hivyo hivyo.