NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Dah hii timu bhanaTunavipa uzito zaidi vilabu hasa Simba na Yanga na siasa zake.
Nasikia safari hii kocha kaleta wachezaji wengi wapya aliowatafuta huko nje. Sijui tunahitaji nini kufuzu ila nadhani hatutoboi.
Lakini si mlitaka Kapombe na Zimbwe akawaongeza kosa lake niniTunavipa uzito zaidi vilabu hasa Simba na Yanga na siasa zake.
Nasikia safari hii kocha kaleta wachezaji wengi wapya aliowatafuta huko nje. Sijui tunahitaji nini kufuzu ila nadhani hatutoboi.
We umejuajeKocha wa Taifa stars tayali yupo kambini na kikosi chake Ina maana kikosi kimeitwa kimya kimya.
Source: EFM radio
Kwa Nini wameita kimya kimya wanaficha Nini haswa au Kuna mchezaji Kama FEISAL SALUMU wamemuita wanaogopa kelele za mashabiki??
Ngoja tusubiri mje kujitokeza kutuhamasisha kuwa tukaishangilie timu ya Taifa wakati mnafanya Mambo yenu kimyakimya na mechi mcheze kimya kimya hivyo hivyo.
Wewe umejuaje? Au na wewe upo kambini?Kocha wa Taifa stars tayali yupo kambini na kikosi chake Ina maana kikosi kimeitwa kimya kimya.
Source: EFM radio
Kwa Nini wameita kimya kimya wanaficha Nini haswa au Kuna mchezaji Kama FEISAL SALUMU wamemuita wanaogopa kelele za mashabiki??
Ngoja tusubiri mje kujitokeza kutuhamasisha kuwa tukaishangilie timu ya Taifa wakati mnafanya Mambo yenu kimyakimya na mechi mcheze kimya kimya hivyo hivyo.
Umesoma vizuri Kabla hujacomment.We umejuaje
Kwa hiyo uteuzi wa timu haueleweki kama mkataba wa DIPIIWELIDI?Kocha wa Taifa stars tayali yupo kambini na kikosi chake Ina maana kikosi kimeitwa kimya kimya.
Source: EFM radio
Kwa Nini wameita kimya kimya wanaficha Nini haswa au Kuna mchezaji Kama FEISAL SALUMU wamemuita wanaogopa kelele za mashabiki??
Ngoja tusubiri mje kujitokeza kutuhamasisha kuwa tukaishangilie timu ya Taifa wakati mnafanya Mambo yenu kimyakimya na mechi mcheze kimya kimya hivyo hivyo.
Hatukuwataka. aliwataka yeye mwenyewe akawafuata baada ya mechiLakini si mlitaka Kapombe na Zimbwe akawaongeza kosa lake nini
Sio mby kuwatambulisha,next mashindano watumike vzr, better for futureTunavipa uzito zaidi vilabu hasa Simba na Yanga na siasa zake.
Nasikia safari hii kocha kaleta wachezaji wengi wapya aliowatafuta huko nje. Sijui tunahitaji nini kufuzu ila nadhani hatutoboi.
Ndo maana akeKwa hiyo uteuzi wa timu haueleweki kama mkataba wa DIPIIWELIDI?
Mimi nafikiri issue iko hapa kwenye hili suala. Hao wachezaji waliokusanywa kusanywa huko, hawawezi kuacha uraia wao kwa nchi hizo kwa hiyo labda wamepewa uraia wa Tanzania fasta fasta na kuna watu wanajishtukia tutaanza kuhoji suala la uraia pacha wao.Sio mby kuwatambulisha,next mashindano watumike vzr, better for future