Timu ya taifa ya mpira wa miguu ni timu ya kushiriki mashindano tu?

SPINE

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
1,068
Reaction score
1,150
Timu ya taifa ( Taifa stars, Twiga stars, Serengeti boys, Ngorongoro heroes nk) kwa nini zinakuwepo wakati wa mashindano tu, ina maana TFF wanaendeleza mchezo wa soccer kwa kiwango cha TAIFA kwa mashindano tu?..... Ni vyema wajitafakari, maana tumekuwa watu wa kuigaiga.

Twiga stars walianza vzr, sasa wanatembeza bakuli... kama imeshindikana hamna haja ya kulazimisha.

kama hakuna wadhamini kuziendesha timu hizo zote basi ni vyema ibaki moja ili iwe na muda wa kutosha kuandaliwa then iwe na ushindani na sio kushiriki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…