Timu ya Taifa ya Riadhaa inatembeza bakuli kushiriki EA games aibuu Sana

Timu ya Taifa ya Riadhaa inatembeza bakuli kushiriki EA games aibuu Sana

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Nimeona Tangazo ITV timu ya riadha ya Taifa inaomba misaada ifuatayo ili iweze kushiriki mashindano ya Africa Mashariki mwezi ujao pale uwanja Taifa:

Kilo 300 za Mchele,
Kilo 50 za Chumvi,
Kilo 200 za Sukari,
Kopo 12 za Glucose,
Kambi ya kufanyia mazoezi kwa wiki 2,
Nyama na Maharage ya kutosha...

Hii ni aibu kwa chama cha riadha nchini yaana mnakosa wazamini wa kuwapa fedha mshiriki mashindano yanayofanyika nyumbani??? Shame on you..
 
Back
Top Bottom