Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Mara nyingi ninapoangalia timu yetu ya Taifa ikicheza nawakumbuka sana wachezaji wa zamani. kama hawa wafuatao:-
Angalau tungekuwa hata tumeingia kwenye moja ya mashindano barani Afrika
imeshindakana kabisa kutengeneza timu ya Taifa ambayo inaweza angalau kutufurahisha hata kucheza kwenye komba la mataifa ya Afrika mbali na kombe la dunia
- Idd Pazi, Mohamed Mwameja, Zamoyoni Mogella, Said Mwanga Kizota, Damian kimti, Edward Chumila, Ramadhani Lenny, Hamis Gaga, Madaraka Selemani, George Masatu, Edibli Lunyamila, Ntezi John, Twaha Amidu, Peter Tino, Gebo Peter, Nico Njoole, Deo Njoole, Sekiloji Chambua, Keneth Mkapa, Method Mogella, Mackenzie Ramadhani,Abubakari Salum na wengineo