gfesto
JF-Expert Member
- Nov 6, 2013
- 653
- 146
Hii timu yetu ya taifa kama ni majina tu,! Ilishakuwa na majina mengi. Pamoja na hayo yote nisawa na kumpigia mbuzi gitaa.
Makocha wa aina zote! lakini wapi. Kwa nini J. Malinzi asiichukue timu yake waende kwa mzee Rukhusa wakamwombe atengue ile kauli yake ya soka la Tanzania ni sawa na kichwa cha mwendawazimu? Nadhani ile ilikuwa ni laana.
Tutashabikia timu za nje hadi lini?
Au nini kifanyike tuwe na timu bora?