Timu ya Thomas Ulimwengu inaburuza mkia huko Ulaya

Timu ya Thomas Ulimwengu inaburuza mkia huko Ulaya

Mzalendo39

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
881
Reaction score
1,033
Timu anayoichezea mchezaji wa timu ya Taifa Tanzania, Thomas ulimwengu inabuluza mkia ikiwa na point nane (7)tu katia 34 za timu inayoongoza ligi hiyo huku ikiwa imecheza michezo 15 na kubatika kutetea point 7 kati ya point 45

Kwa hali hiyo tumuombee ndugu yetu
632d344274e6856b9d380eae0db1c28d.jpg
5b9bc5433b0ccccfcb16b85b980d9476.jpg
737801570d1178d3bbe82dd5a2f19139.jpg


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Karibu anarudi bongo huyu kuchezea simba au yanga

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama hiyo timu inasajiji na inawachezaji kama Ulimwengu kwa kweli inastahili hiyo nafasi

Sijui kama Yanga na Simba wanaweza kuwa na wachezaji wa kiwango hicho.
 
kucheza ulaya ni ufahali, wacha ashuke nayo daraja ataikumbuka hata mbeya cty
 
Kuburuza mkia ligi si ajabu. Kama Leicester n.a. Chelsea walikuwa wanapumulia machine msimu uliofuatia ubingwa wao sembuse hao? ?!!!!!.
Asiyekubali kushindwa .

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Na kiwango chake mwenyewe hakiko vizuri, ajitahidi kukirudisha ili aisadie timu yake
 
Back
Top Bottom