mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Kwa sasa Timu ya wananchi Yanga Tasaf wanakesha kwenye mitandao wanahangaika na TP Mazembe kuliko Simba Yenyewe.Wakati timu ya wananchi inahaha kutembeza bakuli, timu ya nchi inaendelea kuwakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa
Sent using unknown device
Bora ya Yanga wanatumia akili Ku survive. Unazungumziaje hao wanaotegemea hela ya mwanaume ?! Malipo ni nini ?!Hongereni sana Yanga kwa kujiunga na Mradi wa kusaidia Kaya Maskini "TASAF"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni baada ya kula hela ya mwanaume Manji mpaka akawakinaiBora ya Yanga wanatumia akili Ku survive. Unazungumziaje hao wanaotegemea hela ya mwanaume ?! Malipo ni nini ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tumia akili Dunia nzima mpira ni biashara sio kutembeza bakuli mpira ni Kuwekeza kwa Hisa,Manji kabanwa na Makonda mnatembeza bakuli ahaaaa.Bora ya Yanga wanatumia akili Ku survive. Unazungumziaje hao wanaotegemea hela ya mwanaume ?! Malipo ni nini ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi wanatamani mpk hela za mwanaume mzee Akilimali ila ndo hivyo tena mzee mfukoni ni choka mbaya.Ni baada ya kula hela ya mwanaume Manji mpaka akawakinai