Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Hilo kombe litakuwa ndondo, mbona Gamondi hakutonywa?Nyuma mwiko wametoka patupu
Hakutonywa UTO Queens inashiriki mashindano gani vile?Hilo kombe litakuwa ndondo, mbona Gamondi hakutonywa?
Wekeni paradeNyuma mwiko wametoka patupu
Hatimaye timu ya Simba yashinda kombe ligu kuu msimu wa 23/24 chini ya kocha Mgunda
Simba si hata bingwa mtetezi wa kombe hilo. So hatimaye bado inaswihi.Sio HATIMAYE, hiyo ligi ya Women inajulikana kuwa bingwa wa mara zote anapaswa kuwa ni Simba, na miaka ambayo Simba sio bingwa ndio unaweza kuandika HATIMAYE SIMBA AKOSA UBINGWA