Wako vizuri kiongozi we huoni wanafungwa kwa taabu sana halafu we unasema wanataka kuwa mdebwedo haahaaa!!!!Hawa madada na wao wanataka kuwa mdebwedo nini?
Mechi mbili wanafungwa kwa taabu bao 20?
Ni timu ya taifa, au wamechukua vijana wa shule moja ya sekondari kuwakilisha?