Timu ya Yanga imejaa low IQ's wengi sana kuanzia viongozi

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Baada ya kuangalia mechi ya Jana ya hii team dhidi ya mwadui nilifafhaika sana kuona watoto na watu wazima akili zao ni sawa wanashangilia ushindi utazani wamechuka kombe la UEFA
vitu vingne vinatia aibu yanga imekosa wasomi VIONGOZI wenye sifa imejaza video Queens wa kiume tu
 
Walishangilia ushindi au walishangilia kwa lipi? Nyinyi ndo ambao siku zote huwa ni tatizo hata kwenye familia zenu. Kushukuru kwa kidogo unachokipata kuliko bora kuliko kusubiri upate kikubwa ambacho hujui utakipata lini ndipo ushukuru.

Mtoa mada mnyonge mnyongeni haki yake mpeni na msipompa ataitafuta kwa hali yoyote. Vipi wenye high IQ wamefika wapi kimpira hapa bongo???
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ww ndo una low IQ mkuu ushaona wapi video queens wa kiume? Hahahaaaaa. Ushapanic, wacha wenzio washangilie ni haki yao, halaf nyie si mlidungwa hapo[emoji28][emoji28][emoji28].

Punguza nchencheto kaka
 
Mbumbumbu fc tangu wawe na msemaji mwalimu wa madrasa basi wanaona watu wote hawana uelewa kama wao.
Yanga ndio mabingwa wa kihistoria wa mashindano yote na vikombe vyote katika nchi hii. Yanga ndio timu pekee katika ukanda wa Afrika mashariki na kati iliyo beba kombe la Afrika mashariki na kati nje ya mipaka ya Tanzania zaidi ya maramoja.
Yanga ndio timu pekeeTanzania ambayo 70% ya wananchiwake wanaishabikia.

Yanga nitimu pekee ambayo mihimili ya bunge, Mahakama na serikali 70% ya viongozi na watendaji wake ni wanachama na mashabiki wake. Hii ina maana Yanga ni Tanzania, Hata katika katiba ya nchi au machapisho yoyote sehemu inayosomeka Tanzania uki iondoa na kuweka jina Yanga hujakosea italeta maana moja. Kwa asili jezi za Yanga zina rangi Nyeusi, njano na kijani hii inamaanisha Yanga inapocheza mechizake inapeperusha bendera ya Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ww ndo una low IQ mkuu ushaona wapi video queens wa kiume? Hahahaaaaa. Ushapanic, wacha wenzio washangilie ni haki yao, halaf nyie si mlidungwa hapo[emoji28][emoji28][emoji28].

Punguza nchencheto kaka
Antonio nugas kwenye nyimbo ya Khasim mganga sio video vixen?
 
Baada ya kuangalia mechi ya Jana ya hii team dhidi ya mwadui nilifafhaika sana kuona watoto na watu wazima akili zao ni sawa wanashangilia ushindi utazani wamechuka kombe la UEFA
vitu vingne vinatia aibu yanga imekosa wasomi VIONGOZI wenye sifa imejaza video Queens wa kiume tu
Wewe pimbi unaumwa.
 
Antonio nugas kwenye nyimbo ya Khasim mganga sio video vixen?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kiongoz kasome tena wanaitwaje wa kiume., sitaki kukusaidi[emoji28][emoji28][emoji28] ila pooole kwa kuumia. Povu ruksa
 
Baada ya kuangalia mechi ya Jana ya hii team dhidi ya mwadui nilifafhaika sana kuona watoto na watu wazima akili zao ni sawa wanashangilia ushindi utazani wamechuka kombe la UEFA
vitu vingne vinatia aibu yanga imekosa wasomi VIONGOZI wenye sifa imejaza video Queens wa kiume tu
Comments za mbumbumbu squared.
 
Una ugonjwa unaoitwa sycophants

Back
Top Bottom