MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
“Nimewaona Orlando Pirates ni hatari sana, Simba ni wa kawaida kabisa. Hawawezi kushindana na timu kama Orlando. Mimi nina uzoefu kwenye mechi za kimataifa sioni Simba wakisonga mbele.” - Fredrick Mwakalebela Makamu Mwenyekiti Yanga SC.
Taarifa: Sports Arena Wasafi FM
Mwalimu wangu wa Saikolojia aliwahi kutuambia kuwa huwezi kuwa Mnene Kupindukia na ukawa na Kitambi kama Tenki la DAWASA Goba ukawa sawasawa Kichwani ( Kiakili ) na sasa naanza Kumuamini 100%.