Timu yako ina muda mrefu haijashiriki Michuano ya Kimataifa na mwaka jana mmetolewa mapema huu Uzoefu umeutolea wapi?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Nimewaona Orlando Pirates ni hatari sana, Simba ni wa kawaida kabisa. Hawawezi kushindana na timu kama Orlando. Mimi nina uzoefu kwenye mechi za kimataifa sioni Simba wakisonga mbele.” - Fredrick Mwakalebela Makamu Mwenyekiti Yanga SC.

Taarifa: Sports Arena Wasafi FM

Mwalimu wangu wa Saikolojia aliwahi kutuambia kuwa huwezi kuwa Mnene Kupindukia na ukawa na Kitambi kama Tenki la DAWASA Goba ukawa sawasawa Kichwani ( Kiakili ) na sasa naanza Kumuamini 100%.
 
Wewe ulishaleta kombe gani tokea ushiriki iyo michuano? Kama ujawai basi kaa kimya auna tofauti na washiriki wengine kwa maana sifa zenu wote zinafanana kiuzoefu wa kushiriki na sio vinginevyo, pia kwenye ilo kundi wapo biashara, namungo, na kmc zote izo zina uzoefu wa kushiriki michuano iyo kama simba anavyoshiriki!
 
The last paragraph got me rolling [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kosa kubwa na bomu linaloandaliwa yanga ni kujiona wapo sawa au wamwazidi simba na kuanzisha propaganda za kuichafua simba ili ionekana inashinda kibahati au inabebwa huku ikimuacha mbali yanga katika mashindano ya kimataifa na siku wakija kushtuka itakuwa wameshachelewa.
 
Mashabiki wa clubs za Tanzania tuna shida kubwa sana, kufanikiwa kwa Timu moja ni uadui kwa timu inayobwabwaja. Sioni haja ya kushambuliana hivi. Kama timu zote mlikuwa CAF, wewe ukacheza ukavurunda, iweje uanze na uadui kwa yule aliyefanya vizuri, yaan ujinga ujinga tu
 
Wote ni wale wale tu
 
utoh acha kujitoa ufahamu... hivi hujui simba kwenye michuano ya kimataifa ana point 28 na utoh mna point 0. 5 huoni utofauti hapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…