Timu yangu bora ya msimu wa 2024/25 ni Azam FC nikiwa kama shabiki mpya

Yes yes of course ,mada za hivi hasa zenye lugha mbili ni nzuri na wewe hata Kama hujui kingereza utie neno .

Umoja wa mataifa wanaweza kukuona
 
Eric Cantona : "You can change your wife, your politics, your religion, but never, never can you change your favourite football team.".

Now we know which team you were supporting all this time,better stop talking Ill about YANGA Mangungu boy
 
mimi ni yanga kuliko wewe
Washabiki wa Yanga ni nadra kuongelea ubaya wa timu yao tofauti na Simba huwa wanakandia timu yao,kumbuka kipindi cha Yanga wanatembeza bakuli wote waliungana na walijaa uwanjani mikoani uko pesa zilichangwa,,ila Simba saivi mtikisiko kidogo tu wanavurugana mpk nje kwa mashabiki hawataki viongozi . Kwaiyo ilo la kusema wewe Yanga haiwezekani ni uongo wa wazi mzee nyuzi zako zipo wazi
 
amini mimi yanga.

Na vita na manara tu Yanga. kaondoka sina noma na yanga.
 
Azam FC hii unayoona bora wewe haiwezi chukua point 6 Simba mzee ata iwe mbovu. umesahau msimu uliopita Simba ilikuwa dhoofu ila mechi na Azam kule CCM kirumba walifanya nini ?
this season naona imekuwa much better and very competitive compared to the previous season.

I believe simba won't grab a point.
 
this season naona imekuwa much better and very competitive compared to the previous season.

I believe simba won't grab a point.
What makes you undermining Simba Sports Club over Azam FC while their head to head performance and records are quite clear ?
 
amini mimi yanga.

Na vita na manara tu Yanga. kaondoka sina noma na yanga.
Kuna nyuzi ngapi zilionesha ilo au unajificha tu kwasabb zako za msingi? kiri ili wadau wataheshimu maamuzi na sababu zako binafsi
 
What makes you undermining Simba Sports Club over Azam FC while their head to head performance and records are quite clear ?
azam fc has a new demographic foreign players. with cafcl Dreams.
they an edge over simba, In attack and defence,
they will probably give simba a tough game. than last season
 
azam fc has a new demographic foreign players. with cafcl Dreams.
they an edge over simba, In attack and defence,
they will probably give simba a tough game. than last season
Samahani uwa sipendi kutumia lugha ya kiingereza katika uwanja huu wa mtandao ivo basi ,nitaendelea kukujibu kwa lugha yangu mama haijarishi wewe utatumia lugha gani,,,ivo usishangae ni maamuzi tu.
Turudi kwenye hoja , asa wachezaji gani hao wa Azam ambao wanandoto zaidi za michuano ya CAF kuwazidi Simba Sports Club ?
 
amini mimi yanga.

Na vita na manara tu Yanga. kaondoka sina noma na yanga.

Unaji contradict na kuzunguka sana hatimae umekubali,kuwa ww ni Kolo FC.Ndio maana ulikuwa unahangaika kama umekalia bunzi la muhindi,mara Gamondi hafai,mara Boka unamihemko kama mtoto wa kike, ila baadae wote wamekuumbua.
 
You are warmly welcome Mr Danielmwasi
 
Huyo mbona tulishamjua muda mrefu kuwa ni Kolo bin mbumbumbu,sasa kaona maji yashamfika shingoni anaenda kupeleka gundu Azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…