Timu yangu bora ya msimu wa 2024/25 ni Azam FC nikiwa kama shabiki mpya

Nimemaliza kuangalia mechi kati ya jkt tanzania na azam.
Kiufupi tu Azam hawana timu, hamna kitu watakuwa wanafuja fedha za bakharesa tu hii timu kuanzia benchi ka ufundi ,menejimenti ya timu hadi wachezaji
 
Kiingereza kiiingii kucheza mpira aaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…