Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
Ureno ama Ubelgiji ndiko kombe litakako kwenda
Ureno, no chance.
hahahaaa ndotoUreno, no chance.
Ureno, no chance.
Tena hao mapema tu wanatolewa.....katika kundi lao
Spain and Morocco nawatabiria...
hahahaaa ndoto
Ni kweli mpira ni viungo, ubora wa beki yeyote unategemea na viungo, ubora wa safu ya ushambuliaji unategemea na viungo. Pamoja na kua mess anaweza kucheza kama kiungo na akashambulia lkn timu yake ina wachezaji wasiojituma.Mi huwa siangaliagi washambuliaji saaana huwaga nacheki ubora wa wale wapigaji pale kati viungo..Tukirudi kwenye Swali lao Hawa wajukuu wa Hitler nawaelewa
Jamaa wanamtegemea Ronaldo, angalia hiki kikosi. Halafu kikutane na labda Brazil German, Argentina, France, Spain.
Keepers: Anthony Lopes (Lyon), Beto (Goztepe), Rui Patricio (Sporting Lisbon).
Defenders: Bruno Alves (Rangers), Cedric Soares (Southampton), Jose Fonte (Dalian Yifang), Mario Rui (Napoli), Pepe (Besiktas), Raphael Guerreiro (Borussia Dortmund), Ricardo Pereira (Porto), Ruben Dias (Benfica)
Midfielders: Adrien Silva (Leicester), Bruno Fernandes (Sporting Lisbon), Joao Mario (West Ham), Joao Moutinho (Monaco), Manuel Fernandes (Lokomotiv), William Carvalho (Sporting Lisbon)
Forwards: Andre Silva (AC Milan), Bernardo Silva (Manchester City), Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Gelson Martins (Sporting Lisbon), Goncalo Guedes (Valencia), Ricardo Quaresma (Besiktas)
Viungo wa kati ni muhimu sana.Mi huwa siangaliagi washambuliaji saaana huwaga nacheki ubora wa wale wapigaji pale kati viungo..Tukirudi kwenye Swali lao Hawa wajukuu wa Hitler nawaelewa
Hii ngoma inaenda Buenos Aires kwa King Messi.Di María - 22 goals
Higuaín - 27 goals
Messi - 47 goals
Icardi - 29 goals
Dybala - 26 goals
Agüero - 31 goals
Safu ya ushambuliaji Argentina imefunga jumla ya magoli 182.
Tukutane kwa Putin.
FRANCE, GERMAN, BRAZIL
Hii ngoma inaenda Buenos Aires kwa King Messi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kabisa kaka