Baada ya timu ya Morocco kutolewa Jana na Ufaransa lakini ni ukweli usiopingika kuwa timu ya Morocco imeithibitishia Dunia kuwa haikutinga fainali kwa kubahatisha.
Lakini pia wameithibitishia Dunia kuwa hawakwenda kushiriki bali walikwenda kupambana.
Ahsante Morocco kwa kupambana kufa na kupona, hakika wanastahili pongezi nyingi sana kwa mchezo mzuri walio unonyesha dhidi ya Ufaransa, pamoja na kutolewa lakini wameithibitishia dunia kuwa hawakufika nusu fainali kwa bahati bali ni kwa bidii na maarifa na uzalendo wa hali ya juu.
Pongezi kwao kwa kuliwakilisha bara la Afrika kikamilifu na kufikia rekodi kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kifika nusu fainali kombe la dunia 2022.
Timu za Afrika na haswa Timu yetu ya Taifa Tanzania ianze maandalizi sasa ya kwenda kushindana kombe la dunia mwaka 2026 huko Kanada, inawezekana endapo tu tutaamua.