Timu za libya zaondolewa club bigwa africa na shirikisho

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,071
Reaction score
1,303
Hizi ni taarifa nzuri kwa timu ya utopolo ni baada ya jana CAF kuziondoa timu za libya kwenye clab bingwa Africa na kombe la shirikisho kutokana na ligi hiyo kusimama kwa misimu miwili hivo ni wazi sasa tanzania wenye point 14 tukachukua nafasi ya libya.

Football clubs in Libya have been excluded by the Confederation of African Football (CAF) from participating in its Champions League and Confederation Cup competitions next season (2020 – 2021) due to the suspension of the Libyan National League for two consecutive years.
 
Ni vizuri mi Ni shabiki wa Simba Ila uwakilishi wa timu nne Ni mzuri kwa taifa
 
Mimi ni mwanachama wa Yanga ila naona Azam ana nafasi nzuri zaidi.
 
Tff inabidi wafungue dirisha la usajiri mapema maana first leg ni August 7-9 siioni...tunaweza tukapata advantage ligi ya bongo kwani ligi inachezwa na karibia bara Zima ligi zmesimama....ila pia fatigue inaweza ikatugharimu Kama timu zitakua hazina kikosi kipana
 
Hakuna mashindano ya CAF mwaka kesho. Uwezekano wa kuwepo ni mdogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…