Timu za Majeshi zipigwe marufuku kucheza Ligi Kuu

Timu za Majeshi zipigwe marufuku kucheza Ligi Kuu

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
Serikali iliangalie hili.

Natizama mechi ya simba na jkt gani sijui hawa. yaani simba wanacheza mpira lakini hawa jkt wanacheza rafu tu.

Mugalu kapigwa buti kapoteza fahamu. sasa katolewa.

Manula kapigwa kichwa makusudi nadhani sasa atakuwa anapelekwa hospitali.

Mambo ya hovyo sana.
 
Hiyo ni ajali tu mzee kutokana na manula alivyoingia
matukio ya mutshimba na aishi ni yale ya hatari zaidi lakini zipo faulo nyingine nyingi tu za kuhunihuni.
 
Mkuu, hii habari ungeipeleka jukwaa husika la "sports" ingependeza zaidi. Ni vigumu kupata watu wa kukufariji kwa hizo mambo za Simba a.k.a mikia ama wazee wa waviswaswadu.
 
Hufai kuwa kiongozi wewe una maamuzi ya papara sana. Mechi moja tuu unafanya Hitimisho?
 
Mkuu, hii habari ungeipeleka jukwaa husika la "sports" ingependeza zaidi. Ni vigumu kupata watu wa kukufariji kwa hizo mambo za Simba a.k.a mikia ama wazee wa waviswaswadu.
tumeyapiga la 3 😆😆😆😆
 
hawa kila siku hivi hivi michezo yao. sema hapa mwisho mjeda mmoja kala tobo, kaja mwingine kavalishwa kikoi 😆😆😆
Haahhaahh hata ulaya kuna timu zinajulikana zinatumia nguvu sana kwenye uchezaji
 
Tulia kwanza kunywa maji uje na point ya msingi, toka unaanza kuufahamu mpira ready za leo ndio zimekutoa wenge sio.?
 
Ebu kachezeni bao au chakacha kama hamuwezi kugangamara
 
Wacha kuwa na hasira mzee hayo mambo yapo kitambo hizo timu zinachezaga kwa kukamia sana .

Lkn hilo tu haliwezi kuziondoa kwenye mashindano maana ni moja ya mchezo tu
 
Back
Top Bottom