alquin maxmillian madoro
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 374
- 251
Yeah ni kweliSijakataa ndio maana nikasema kipimo kizur zaid kwa mafanikio ni kuingia robo fainal maana kwenye makundi hakuna ugumu sana kama ilvyo robo fainali
EPL wana nafasi 4 tu kufuzu UEFA.. Siku zote mshindi wa EUROPA anafuzu moja kwa moja UEFA msimu unaofuata! Hili ndio limefanya UK wawe na wawakilishi 5 msimu huuIngekuwa UK wanatakiwa wawe na nafasi 4 tu, kama ulivyosema. Basi mshindi wa 4 angeondelewa ili Man U achukue nafasi yake. Kama ameenda na Man U wameenda ujue hujui taratibu zake.
basi sikukuelewa vizuri mzee, ila mimi nilimaanisha zile zilizofuzu moja kwa moja hatua ya makundi bila kupitia kwenye play-offsNi NNE mkuu....pitia tofuti ya UEFA ujiridhishe. Mwaka huu zilikuwa Bayern Munich, Borussia Dortmund, RB Leizpig na Hoffenheim (hii ilitolewa na Liverpool kwenye qualification round)
Hizo nafasi nne moja ilikuwa anaanzia qualifiers(mshindi wa nne) ndio maana Liverpool alicheza na Hoffenheim, Liverpool akapita. Ila kuanzia 2018 timu zote nne zitaingia hatua ya makundi, hakutakuwa na qualifiers.basi sikukuelewa vizuri mzee, ila mimi nilimaanisha zile zilizofuzu moja kwa moja hatua ya makundi bila kupitia kwenye play-offs
Real Madrid huyu huyu aliyechapwa na Totenham?kesho tutajua nani atasonga na nani atatupwa nje......
atakae pagwa na madrid aanze kufungasha....
atakae pangwa na juventus aanze fungasha....
hadi hapo zitabakia 3
Nyie mnatolewa na Ac romaMan u ndio ataefuzu hatua ijayo
Haiwezekani mzee, wote kasoro chelsea watakuwa kwenye pot moja hivyo haiwezi kutokea wakajikuta wanakutana..Utashangaa wanapangwa wao kwao Chelsea vs man u liver vs man city af tote vs Barcelona
Yes una akili weweMan u ndio ataefuzu hatua ijayo
Uefa champions league ya msimu ujao Italy itaingiza timu nne.Hamna nafasi itakayoongezeka. England,Spain na Germany wanapewa nafasi NNE tu, huku Italy,Portugal na France wanapewa nafasi tatu kwa mujibu wa Euro coefficient(perfomance). England wamepata tano kwasababu MAn Utd kashinda Europa League na kamaliza nje ya top 4.
Haiwezekani mzee, wote kasoro chelsea watakuwa kwenye pot moja hivyo haiwezi kutokea wakajikuta wanakutana..
The most possible case scenario ni Liver/Man U/Man City/Spurs vs Chelsea na sio vinginevyo. I hope umeelewa
Timu za kundi moja au nchi moja haziwezi kukutana last 16 labda robo fainali na kuendelea.Utashangaa wanapangwa wao kwao Chelsea vs man u liver vs man city af tote vs Barcelona
Italy,Russia wameongezewa moja huku Portugal kapunguziwa moja...hivyo kuanzia 2018/19Uefa champions league ya msimu ujao Italy itaingiza timu nne.
Mwakani haitaongezeka nafasi moja, itabakia vile vile timu nne za epl ndio zitakazofuzu kucheza champions league. Labda itokee Arsenal au timu yoyote ya epl ichukue kombe la europa league halafu asiwepo kwenye top 4. Na swala la kuingia timu tano; msimu wa uefa champions league mwaka 2016-2017 spain walipata nafasi ya kuingiza timu tano kwenye uefa champions league baada ya Sevilla kuchukua kombe la europa league lakini kashindwa kuingia top 4 (alishika nafasi ya 7) hivyo ikafanya Barcelona, Real madrid, Atletico madrid na sevilla kuingia moja kwa moja kwenye hatua ya makundi. Na timu ya villareal ambayo ilishika nafasi ya nne kucheza playoff ya champions league kama sheria ilivyo kwa timu ninazoshika nafasi ya 4 Uingereza, Hispania na Ujerumani zinacheza playoff.Uefa wanaanza kuhesabu hapo. Kwahiyo mwakani itaongezeka nafasi moja.
Rekodi ya EPL ni hizo timu zote tano kuingia last 16.Mwakani haitaongezeka nafasi moja, itabakia vile vile timu nne za epl ndio zitakazofuzu kucheza champions league. Labda itokee Arsenal au timu yoyote ya epl ichukue kombe la europa league halafu asiwepo kwenye top 4. Na swala la kuingia timu tano; msimu wa uefa champions league mwaka 2016-2017 spain walipata nafasi ya kuingiza timu tano kwenye uefa champions league baada ya Sevilla kuchukua kombe la europa league lakini kashindwa kuingia top 4 (alishika nafasi ya 7) hivyo ikafanya Barcelona, Real madrid, Atletico madrid na sevilla kuingia moja kwa moja kwenye hatua ya makundi. Na timu ya villareal ambayo ilishika nafasi ya nne kucheza playoff ya champions league kama sheria ilivyo kwa timu ninazoshika nafasi ya 4 Uingereza, Hispania na Ujerumani zinacheza playoff.
Hilo mimi nalijua, nilikuwa namjibu jamaa aliyesema kuwa epl itaongeza nafasi moja mwakani kutoka kwenye idadi ya timu nne hadi kuwa timu tano kwakigezo cha kuongezeka pointsRekodi ya EPL ni hizo timu zote tano kuingia last 16.
ya kuvukia barabara?[emoji2]Yes una akili wewe