Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Azam Fc kashinda 1-0 nyumbani lakini alizidiwa muda mwingi wa mchezo, Goli lenyewe walilopata ni la Offside. Jana Yanga nae akiwa nyumbani alitoa suluhu 1-1 dhidi ya Zanaco huku wakicheza katika kiwango cha kawaida sana.
Kwa mwenendo huu nadiriki kusema kwamba timu za Tanzania hazitofika mbali na timu zote Yanga na Azam zitaenda kutolewa kwenye mechi za marudiano.
wewe mdau nini mtazamo wako?
Kwa mwenendo huu nadiriki kusema kwamba timu za Tanzania hazitofika mbali na timu zote Yanga na Azam zitaenda kutolewa kwenye mechi za marudiano.
wewe mdau nini mtazamo wako?