Very "intelligent" observationTatizo la Yanga imekumbatia sana Uccm na ndo maana kilabuni kwao kuna bendera za ccm .wacha wakong'otwe huko Zambia.
Kwa hiyo wakiamua kuikumbatia CHADEMA mpira wa Yanga utabadilika ghafla ?Tatizo la Yanga imekumbatia sana Uccm na ndo maana kilabuni kwao kuna bendera za ccm .wacha wakong'otwe huko Zambia.
Kwa uhandishi wako tu,,wewe si mtu wa mpiraTatizo la Yanga imekumbatia sana Uccm na ndo maana kilabuni kwao kuna bendera za ccm .wacha wakong'otwe huko Zambia.
Huo ndio ukweli kabisaaaaa! Hata mbinu za ushindi wanaigana!Tatizo la Yanga imekumbatia sana Uccm na ndo maana kilabuni kwao kuna bendera za ccm .wacha wakong'otwe huko Zambia.
Usitukumbushe ya liboro mkuuMkombozi wenu anakuja.. Simba sports club msiwe na hofu Watanzania
Klabu inajiendesha kwa kutegemea mfadhiri? TZ bado sana.Mwenyekiti ambaye ni mfadhili yuko lupango unataka wachezaji wafanye muujiza?