Nadhani tumeona yaliyowakuta Azam jana, ila najiuliza ni kwanini timu za Tanzania zikienda matuta na timu za nje michuano ya kimataifa ni lazima sisi tupigwe?
Mara ya mwisho kushinda matuta sijui ni lini ila kwa vipigo
2012- simba vs Al ahly ya sudan