Mashindano ya Kombe la dunia yameanza rasmi nchini Qatar.
tutashuhudia, umahiri wa hali ya juu jinsi ya kusakata kandanda, tutashuhudia akili, maarifa na bidii ya timu na wachezaji mmoja mmoja.
Swali: Je, timu zetu za Tanzania, zinajifunza au zitaendelea kushangaa na kushangilia kama mashabiki tu?