OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 4,701 Reaction score 11,920 Apr 6, 2024 Thread starter #21 Tupo bize kufungua matawi tunaacha mambo madogo madogo ambayo yametufanya tusifuzu nusu fainali badala yake tunawaamini watu wa VAR ambao hatujui uaminifu wao.
Tupo bize kufungua matawi tunaacha mambo madogo madogo ambayo yametufanya tusifuzu nusu fainali badala yake tunawaamini watu wa VAR ambao hatujui uaminifu wao.