Timua timua ya makocha Simba

Timua timua ya makocha Simba

Pesanyingi

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2023
Posts
1,157
Reaction score
1,983
Kwa misimu kadhaa sasa timu ya simba imekuwa na utaratibu wa kufukuza makocha tena ndani ya muda mfupi Sana.
Jambo ambalo linazuwa maswali tatanishi mengi.
1.Je wanaohusika kufukuza na kuajiri makocha simba kwenye misimu yote hiyo si ndiyo hao hao viongozi wapo wao hawana matatizo? Mbona hawawajibiki.
2.Kama kubadili makocha kuna tija au kuleta mataji ya ubingwa mbona hatuyaaoni.
Kama kubadili badilli makocha ni mafanikio leo tungekuwa tunacheza fainali ya club ubingwa Afrika.
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom