Timu ya soka ya Napoli ya Italy imemfukuza kazi aliyekuwa kocha wao Carlo Ancelotti masaa machache baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya mtoano kwenye Champions League.
Ancelotti ambaye ameiongoza Napoli kwa miezi 19, kabla ya kushinda mechi ya jana 4 - 0 dhidi ya Genk ya Belgium, Napoli walikuwa wamecheza mechi tisa zilizopita bila ya kushinda kwenye mashindano yote.
Timu za Everton na Arsenal za Uingereza zinafanya jitihada za kumchukua Ancelotti kuwa kocha wao.
Mchezaji na Kocha wa zamani wa AC Milan Gennaro Gattuso anategemewa kuiongoza Napoli kwa mkataba wa miezi 6.
Mbon inter imemkumba iyo ukiwa na matokeo 2 yni ushinde au usuruhu nilazima utoke bora uwe n moja ni ushindi tuKocha mwingine wa kutimua ni wa ajax
Wamekosa kuingia 16 kwa ujinga kabisa,
Yaan hata draw ya nyumban inawashinda hivi walikuwa hawaoni wanapoelekea aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa poa sanaAende arsenal akapambane na hali yake
Mkuu inter unaweza kusema barcelonaMbon inter imemkumba iyo ukiwa na matokeo 2 yni ushinde au usuruhu nilazima utoke bora uwe n moja ni ushindi tu
Kocha mwingine wa kutimua ni wa ajax
Wamekosa kuingia 16 kwa ujinga kabisa,
Yaan hata draw ya nyumban inawashinda hivi walikuwa hawaoni wanapoelekea aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaenda EvertonSuper carlo namuona amesimama kama sanamu vile pale arsenal!!!